Machapisho

WAZIRI MKUU AWAAGIZA MAAFISA MIFUGO WA WILAYA NA MIKOA KUCHAPA KAZI NA KUHAKIKISHA SEKTA YA MIFUGO INAKUWA NA TIJA

Picha
BAADHI YA MAAFISA MIFUGO KUTOKA WILAYA MBALIMBALI NA MIKOA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA (HAYUPO KWENYE PICHA ) BAADHI YA WAKURUGENZI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO KUTOKA  WIZARA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI  MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU ILI AWEZE KUONGEA NA MAAFISA MIFUGO WAZIRI WA TAMISEMI MHE GEORGE SIMBACHAWENE AKIMKARIBISHA WAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI MHE.ENG.DR.CHARLES TIZEBA ILI AWEZE KUMKARIBISHA WAZIRI MKUU AONGEE NA MAAFISA MIFUGO WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA AKIHUTUBIA MAAFISA MIFUGO WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO MKURUGENZI WA UZALISHAJI WA MIFUGO NA MASOKO BI.ANUSIATHA NJOMBE AKISOMA RISALA FUPI KABLA YA KUZINDUA MPANGO ENDELEVU WA KUENDELEZA MIFUGO NCHINI

TENDER No.ME/021/2015-16/SWIOFISH/C/21

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES (FISHERIES) SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFish) PROJECT- IDA CREDIT No.5589-TZ REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST Assignment Title :  PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES FOR A SPECIALIST TO CONDUCT MONITORING AND EVALUATION OF THE SWIOFISH PROJECT IN MAINLAND TANZANIA Reference No. TENDER No. ME/021/2015-16/SWIOFish/C/21 The Government of the United Republic of Tanzania has received financing from the World Bank toward the cost of the South West Indian Ocean Fisheries Governance and Shared Growth program – SWIOFish , and intends to apply part of the proceeds for consulting services. The consulting services (“the Services”) include     i.         Establish an effective results-based M&E system for the SWIOFish Project in Mainland, including M&E plan;    ...

UTARATIBU WA KUPATA HUDUMA IDARA YA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI

 IDARA YA UKUZAJI VIUMBE KWENYE MAJI Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye Maji ina jukumu la kuratibu mazingira rafiki ya uwekezaji kwa kutoa miongozo mbalimbali kutegemea na aina za uwekezaji. Taratibu za uwekezaji zitafuata miongozo na taratibu zilizopo kulingana na viwango vilivyopo nchini na kimataifa pamoja na kuzingatia hifadhi ya mazingira na uendelezaji wa rasilimali za uvuvi (Fisheries Investment Guidelines and  The Environmental management Act). 1.0 Mchango wa Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye Maji katika uwekezaji  Idara ina wajibu wa kutoa ushauri juu ya mambo mbalimbali katika uwekezaji ambayo ni pamoja na; Taratibu za kufuata kabla ya uwekezaji; Sheria zilizopo;   Eneo linalofaa kwa uwekezaji; Aina ya viumbe wanaofaa kufugwa/kulimwa kwa kufuata kanuni za .uvuvi na "FAO code of conduct for transfer of species" (1988); na Teknolojia sahihi ambazo hazina athari kwa mazingira, zinazofaa kiuchumi na zinazokubalika katika...

RE-ADVERTSEMENTOF EXPRESSION OF INTEREST FOR CONSULTANCY SERVICE Ref TENDER NO. ME/021/2015/2016/SWIOFish/C/104thNovember, 2016

Picha
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES Telegram: “Mifugo” Telephone:   255 0222861910 Fax: 255 0222861908 E-Mail: ps-ld@mifugo.go.tz                                                 In reply please quart:   Veterinary Complex, 131 Nelson Mandela Road, P.O. Box 9152, 15487 DAR ES SALAAM.                                           Ref TEND...