PROF. SHEMDOE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA ALIYEKUWA KATIBU TAWALA WA MKOA WA KILIMANJARO NDUGU TIXON NZUNDA
Katibu Mkuu Wizara ya
Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe akisaini Kitabu cha Maomboleza ya
aliyekuwa Katibu Tawalawa Mkoa wa
Kilimanjaro (RAS) Bw.Tixon Tuyangine Nzundajana tarehe 21 Juni, 2024 nyumbani kwake Goba, Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni