Waziri wa Mifugo na Uvuvi,
Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akifafanua jambo wakati akizungumza na Watangazaji
wa Kipindi cha Sentro kinachorushwa na Clouds TV moja kwa moja kutoka jijini Dodoma Februari 9, 2024.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (wa pili kulia) akizungumza na Watangazaji wa Kipindi cha Sentro kinachorushwa na Clouds TV moja kwa moja kutoka jijini Dodoma Februari 9, 2024.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi,
Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa
Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Watangazaji wa Kipindi cha Sentro kinachorushwa na
Clouds TV muda mfupi baada ya kumaliza kushiriki katika kipindi hicho kutokea
jijini Dodoma leo Februari 9, 2024.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni