Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo ya Mifugo (LITA) Dkt. Pius Mwambene (katikati) akiongea na wafugaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa, chini ya mradi wa maziwa faida, yaliofanyika LITA kampasi ya Buhuri Mkoani Tanga, Septemba 29,2023
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni