Nav bar

Alhamisi, 27 Aprili 2023

WADAU WAKUTANA KUJADILI UTAFITI KUONGEZA THAMANI SAMAKI AINA YA DAGAA.

 

Katibu Tawala mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa warsha ya kupokea, kujadili na kupitisha taarifa ya matokeo ya utafiti wa upotevu wa mazao ya uvuvi Nchini, April 19,2023 Mkoani Mwanza


Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uvuvi Tanzania Bi. Flora Luhanga akiongea na wadau wa uvuvi  (hawapo pichani) kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwa ufunguzi wa warsha ya kupokea, kujadili na kupitisha taarifa ya matokeo ya utafiti wa upotevu wa mazao ya uvuvi Nchini Aprili 19, 2023 Mkoani Mwanza.


Mwenyekiti wa bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) na mshauri mwelekezi wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), Bw. Yahya Mgawe (katikati) akitoa maelezo ya dagaa waliochakatwa na kufungashwa na wavuvi wadowadogo  kwa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana (wa pili kutoka kushoto) mara baada ya warsha ya kupokea, kujadili na kupitisha taarifa ya matokeo ya  utafiti wa upotevu wa mazao ya uvuvi Nchini, April 19, 2023 Mkoani Mwanza.


Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na timu ya waliofanya utafiti wa upotevu wa mazao ya uvuvi nchini Tanzania Mara baada ya ufunguzi wa washra ya kupokea, kujadili na kupitisha taarifa ya matokeo ya utafiti wa upotevu wa mazao ya uvuvi Nchini,  Aprili 19,2023 Mkoani Mwanza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni