Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi Bw. Stephen Lukanga akisoma Hotuba kwa Niaba ya Katibu Mkuu Sekta ya uvuvi Dkt. Rashid Tamatamah wakati wa uzinduzi wa matawi ya TAWFA Kanda ya ziwa Nyasa na maji madogo kilichofanyika kwenye ukumbi wa royal palm Mkoani Iringa Februari 14,2023 lengo likiwa ni pamoja na kuwaunganisha wanawake wa Tanzania nzima kupitia vikundi vyao Ili kuwezesha kuwa na sauti ya pamoja, kubadilishana mawazo na uzoefu katika kupata uhakika wa masoko.
Mkurugenzi msaidizi wa utawala na rasilimali watu Sekta ya uvuvi, Bi. Marry Mwagisa akitoa neno kwa wanawake wanaojihusisha na shughuli za uvuvi (hawapo pichani) wakati wa kikao cha uzinduzi wa matawi ya TAWFA Kanda ya ziwa Nyasa na maji madogo kilichofanyika kwenye ukumbi wa royal palm Mkoani Iringa Februari 14,2023
Mwenyekiti wa kikosi kazi cha kitaifa kinachoratibu muongozo wa kuendeleza Uvuvi Mdogo nchini (NTT), Bw. Yahya Mgawe akiongea na wanawake wanaojihusisha na shughuli za uvuvi Tanzania (TAWFA) wakati wa kikao cha uzinduzi wa matawi hayo Kanda ya ziwa Nyasa na maji madogo (hawapo pichani) kilichofanyika kwenye ukumbi wa royal palm Mkoani Iringa Februari 14,2023
Mwenyekiti wa TAWFA, Bi. Beatrice Mmbaga akieleza maana ya TAWFA na lengo lake hasa kwa wanawake (hawapo pichani) wakati wa kikao cha uzinduzi wa matawi ya wanawake wanaojihusisha na shughuli za uvuvi Tanzania (TAWFA) Kanda ya ziwa Nyasa na maji madogo kilichofanyika kwenye ukumbi wa royal palm Mkoani Iringa Februari 14,2023
Afisa Uvuvi Mwandamizi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Bi. Upendo hamidu akiwasilisha mada kwa wanawake wanaojihusisha na shughuli za Uvuvi wakati wa kikao cha uzinduzi wa matawi ya TAWFA Kanda ya ziwa Nyasa na maji madogo kilichofanyika kwenye ukumbi wa royal palm Mkoani Iringa Februari 14,2023
Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi Bw. Stephen Lukanga (waliokaa katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kikao cha uzinduzi wa matawi ya TAWFA Kanda ya ziwa Nyasa na maji madogo mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa royal palm Mkoani Iringa Februari 14,2023
Mratibu wa Mradi wa small Scale fisheries Guidelines Bi. Lilian Ibengwe akiwasilisha mada wakati wa kikao cha uzinduzi wa matawi ya TAWFA Kanda ya Ziwa Nyasa na maji madogo kilichofanyika kwenye ukumbi wa royal palm Mkoani Iringa, Februari 14,2023
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni