Nav bar

Ijumaa, 27 Januari 2023

SEKTA YA MIFUGO YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO KUHUSU MRADI WA UJENZI WA BWAWA KWA AJILI YA KUNYWESHEA MAJI MIFUGO KATOKA KIJIJI CHA CHAMAKWEZA WILAYANI CHALINZE MKOANI PWANI

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mhe. Dkt. Christine Ishengoma akitoa maelezo mafupi kabla ya kufunga kikao cha kuwasilisha kwa Kamati taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze Mkoani Pwani kilichofanyika jijini Dodoma leo Januari 25, 2023.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki akijibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakati wa Kikao cha kuwasilisha kwa Kamati hiyo Taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze Mkoani Pwani. Uwasilishaji wa taarifa hiyo umefanyika jijini Dodoma leo Januari 25, 2023.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akieleza jambo wakati wa Kikao cha kuwasilisha kwa Kamati ya Bunge ya Kilimo Mifugo na Maji taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze Mkoani Pwani kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Januari 25, 2023.

Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Sekta ya Mifugo), Bw. Tixon Nzunda akitoa ufafanuzi wa  baadhi ya hoja zilizoibuliwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakati wa Kikao cha kuwasilisha kwa Kamati hiyo Taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze Mkoani Pwani. Uwasilishaji wa taarifa hiyo umefanyika jijini Dodoma leo Januari 25, 2023.

Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndekidemi akichangia hoja wakati wa  Kikao cha kuwasilisha kwa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze Mkoani Pwani kilichofanyika jijini Dodoma leo Januari 25, 2023.


Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles Mwijage akichangia hoja wakati wa  Kikao cha kuwasilisha kwa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze Mkoani Pwani kilichofanyika jijini Dodoma leo Januari 25, 2023.

Sehemu ya Viongozi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Sekta ya Mifugo  wakichukua taarifa wakati wa Kikao cha  kuwasilisha kwa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze Mkoani Pwani. Uwasilishaji wa taarifa hiyo umefanyika leo Januari 25, 2023.

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Maeneo ya Malisho na Rasilimali ya Vyakula vya Wanyama Dkt. Asimwe Rwiguza akiwasilisha  kwa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Taarifa Utekelezaji wa Maagizo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kijiji cha Chamakweza kilichopo Chalinze, mkoani Pwani. uwasilishaji wa taarifa hiyo umefanyika jijini Dodoma leo Januari 25, 2023.Hakuna maoni:

Chapisha Maoni