Nav bar

Jumatatu, 31 Mei 2021

MATEMBEZI YA HIARI NA UPANDAJI MITI ILIYOFANYIKA KATIKA ENEO LA MEDELI TAREHE 29.05.2021

*Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakiwa kwenye Matembezi ya Hiari - Mazingira Walk kuanzia viwanja vya Bunge kuelekea eneo la Medeli kwa ajili ya zoezi la Upandaji Miti lililoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Selemani Jafo leo tarehe (29.05.2021) Jiji Dodoma *


* Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Rashid Tamatamah (mwenye T-shirt nyeupe) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Sekta ya Uvuvi kabla ya kuanza zoezi la Upandaji miti katika eneo la Medeli lillozinduliwa leo tarehe (29.05.2021)Jiji Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Selemani Jafo. Wengine ni Afisa Uvuvi Bw. Makorwa Hamadi (wa kwanza kushoto), Mkuu wa kitengo cha Mazingira (Uvuvi) Bw.Melton Kalinga (wa kwanza kulia) akifutiwa  na Afisa Uvuvi Mkuu Bi. Magreth Dominick


Gg
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni