Kaimu Katibu Mkuu
Sekta ya Uvuvi, Bw. Amosi Machilika akisoma hotuba kwa niaba ya Katibu Mkuu
Sekta ya Uvuvi, Dkt. Rashid Tamatamah wakati wa kikao kazi cha kuandaa mwongozo
wa kusimamia Rasilimali za Uvuvi kwenye maji madogo na maeneo oevu nchini
kwenye ukumbi wa Chuo cha mipango jijini Dodoma. 14/01/2021
Kaimu Mkurugenzi wa
Uvuvi, Bi. Merisia Sebastian Mparaza akieleza lengo la kuandaa mwongozo wa
kusimamia Rasilimali za Uvuvi kwenye maji madogo na maeneo oevu nchini wakati
wa kikao hichi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi leo kwenye ukumbi wa Chuo cha
mipango jijini Dodoma. 14/01/2021
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Dkt. Ismail Kimirei akichangia mada wakati wa kikao cha kuandaa mwongozo wa kusimamia Rasilimali za Uvuvi kwenye maji madogo na maeneo oevu nchini wakati wa kikao hichi jijini Dodoma. 14/01/2021
Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo
na Ugani Sekta ya Uvuvi, Dkt. Erastus Mosha akichangia hoja kwenye kikao
kazi cha kuandaa mwongozo wa kusimamia Rasilimali za Uvuvi kwenye ukumbi wa
Chuo cha mipango jijini Dodoma leo 14/01/2021
Kaimu Katibu Mkuu Sekta ya Uvuvi, Bw. Amosi
Machilika ( wa pili kutoka kulia mbele) akiwa kwenye picha ya pamoja na
washiriki wa kikao cha kuandaa mwongozo wa kusimamia Rasilimali za Uvuvi kwenye
maji madogo na maeneo oevu nchini mara baada ya kikao hichi kwenye ukumbi
wa Chuo cha mipango jijini Dodoma. (14/01/2021)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni