Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala ya Maabara ya Veterinari (TVLA), Dkt. Stella
Bitanyi akimuonesha Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul moja ya
chanjo wanazozalisha alipotembelea Kituo cha Wakala hiyo cha kutengeneza chanjo
kilichopo Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani Januari 11, 2021. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala ya Maabara ya Veterinari (TVLA), Dkt. Stella
Bitanyi akimuonesha Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul moja ya
chanjo wanazozalisha alipotembelea Kituo cha Wakala hiyo cha kutengeneza chanjo
kilichopo Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani Januari 11, 2021.
Meneja
Uzalishaji wa Kiwanda cha TANCHOICE, Selo Luwongo (kushoto) akimuonesha Naibu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul (wa tatu kutoka kushoto) mbuzi
waliochinjwa na kuhifadhiwa katika chumba chenye baridi kali kwa ajili ya
kusafirishwa kuuzwa nje ya nchi. Gekul alitembelea kiwanda hicho kilichopo
Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani Januari 11, 2021.
Meneja
Uzalishaji wa Kiwanda cha TANCHOICE, Selo Luwongo (wa pili kutoka kushoto)
akimuonesha Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul (wa pili kulia) maroli
yaliyopakiwa minofu ya nyama ya mbuzi zaidi ya Tani 40 kwa ajili ya kuuzwa nje
ya nchi alipotembelea Kiwanda hicho Januari 11, 2021. Kulia ni Kaimu Msajili wa
Bodi ya Nyama, Imani Sichwale.
Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala ya Maabara ya Veterinari (TVLA), Dkt. Stella
Bitanyi (kulia) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul
(katikati) alipotembelea Kituo cha Wakala hiyo kilichopo Wilayani Kibaha,
Mkoani Pwani Januari 11, 2021. Kushoto ni Kaimu Msajili, Bodi ya Nyama, Imani
Sichwale.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni