Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah
Ulega akikagua ng'ombe bora kwenye kilele cha maadhimisho ya maonyesho ya
nanenane Mkoani Arusha (09/08/2020)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah
Ulega akipata maelezo kutoka kwa msambazaji wa madini ya Mifugo kutoka kampuni
ya usambazaji wa madini (JOSERA), Bw. Elirehema Laizer alipotembelea banda
la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye kilele tea maadhimisho ya maonyesho ya
nanenane Mkoani Arusha (09/08/2020)
Naibu Waziri wa Mifugo
na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akiangalia mashine ya kukatia nyama kwenye banda
la SIDO alipotembelea kwenye kilele cha maadhimisho ya maonyesho ya nanenane
Mkoani Arusha (09/08/2020)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah
Ulega akiongea na wananchi (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya kilele cha
maonyesho ya nanenane Mkoani Arusha (09/08/2020)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. abdallah
Ulega akimpongeza Bw. Anthony Fabian Mnyanganyile kwa kutoa elimu kwa wadau na
wananchi wote juu ya nyavu haramu na nyavu sahihi kwa uvuvi kwenye kilele cha
maadhimisho ya maonyesho ya nanenane Mkoani Arusha (09/08/2020)
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah
Ulega akikagua mazao katika moja ya mabanda ya kilimo kwenye kilele cha
maonyesho ya nanenane Mkoani Arusha (09/08/2020)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni