Katibu Mkuu Wizara ya
Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah (kulia) akifafanua jambo kwa
mmiliki wa shamba la kufugia samaki linalojulikana kama "Konga Farm"
Bi Loycana Mwidunda alipofika kwenye Vizimba vya shamba hilo vilivyopo Wilaya ya
Magu Mkoani Mwanza (09.08.2020).
Mmiliki wa Shamba la
Kufugia samaki linalojulikana kama "Konga Farm" Bi. Loycana Mwidunda
(katikati) akitoa maelezo kuhusu Shamba lake kwa
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah (kushoto)
na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji Dkt. Nazaeli Madala (kulia)
wakati wa ziara ya viongozi hao Wilayani Magu (09.08.2020)
Waliokaa mbele Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na
Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah (kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji
Viumbe Maji Dkt. Nazaeli Madala wakiwa kwenye boti kuelekea kwenye vizimba vya
kufugia samaki vya Shamba la "Konga Farm" vilivyopo Wilaya ya Magu Mkoani
Mwanza (09.08.2020).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni