keki zilizoandaliwa na Watumishi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa ajili ya kuwaaga wastaafu wa Wizara hiyo iliyofanyika Mvuvi House |
Mkurugenzi wa Ugavi na Manunuzi Bw. Gastory Lugali akiwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert wakikata keki kwa pamoja iliyoandaliwa na Watumishi wa Wizara hiyo |
Mkurugenzi wa Ugavi na Manunuzi Bw. Gastory Lugali akiwa na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo wakilishana keki hiyo |
Mkurugenzi wa Utafiti wa mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo akizungumza machache na kuwaaga Watumishi wote kwa kushirikiana kufanya kazi kwa umoja na kuwatakia kila la kheri katika kujenga taifa |
Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Gastory Lugali akitoa machache na kuwasihi watumishi kuwa na umoja na mshikaano ili kufikia malengo |
Katibu Mkuu Mifugo Dkt. Mary Mashingo akilishwa keki na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani Bw. Herbert Lyimo |
Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akilishwa keki na Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Gastory Lugali |
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Tabu Chando akilishwa keki na Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw. Gastory Lugali |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni