Nav bar

Jumatatu, 27 Juni 2016

ZIARA YA KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI DKT.YOHANA BUDEBA KATIKA MASHAMBA YA WAFUGAJI WA SAMAKI KIGAMBONI TAREHE 24/06/2016

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi anaeyeshughulikia sekta ya  (Uvuvi) Dkt. Yohana Budeba asaini kitabu cha wageni alipotembelea shamba la mfugaji Kigamboni


Muonekano wa mabwawa ya samaki Kigamboni
Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akioneshwa mazingira ya bwawa la kufugia samaki na Mdau Bw. Abdul Kamugisha
Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akipewa maelezo na Bw. George mdau wa shamba la Aqua Big Fish
Mazingira ya bwawa la Aqua Big Fish Kigamboni

Samaki wanaofugwa aina ya Kambare
 Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akiangalia samaki aina ya sato waliofikisha wiki mbili (2)

Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akiwa na Dkt. Maika Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye maji wakiangalia  Sehemu ya kuhifadhia samaki baada ya kutotoleshwa ili waweze kukua kwa nafasi  








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni