Nav bar

Ijumaa, 10 Juni 2016

MKUTANO WA MAMENEJA WA MASHAMBA YA LMU, NARCO NA MALISHO TAREHE 09 - 10/06/2016 ULIOFANYIKA DODOMA KATIKA UKUMBI WA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO N UVUVI.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi anaeshughulikia Sekta ya Mifugo Dkt. Mary Mashingo akifungua Mkutano wa Mameneja wa Mashamba  na Ranchi (kulia) ni Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko Bi. Anunciata Njombe.


Katibu Mkuu (M) Dkt. Mary Mashingo akisikiliza kwa makini taarifa ya utendaji kazi wa Mashamba na Ranchi kutoka kwa Mameneja mbalimbali.

Bw. Israel Kilonzo Meneja wa shamba la kuzalisha Mitamba Sao Hill akitoa taarifa yake kuhusu mapato na changamoto za shamba kulia kwake ni Maafisa Mifugo
Mameneja wa mashamba na Ranchi na Maafisa Mifugo wakisikiliza kwa makini taarifa inayotolewa na mmoja wa Mameneja (hayupo pichani) katika ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dodoma.
Picha ya pamoja ni Katibu Mkuu (M) Dkt.Maria Mashingo akiwa na Mameneja wa  mashamba kutoka sehemu mbalimbali pamoja na Maafisa mifugo kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo ba Uvuvi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni