Nav bar

Jumatatu, 30 Mei 2016

VIFARANGA 5000 VILIVYOKAMATWA AIRPORT KUINGIA NCHINI VIKITOKEA LILONGWE - MALAWI TAREHE 26/05/2016

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt Mary Mashingo akiongea na waandishi wa habari kuhusu uingizwaji holela wa vifaranga bila kufuata taratibu .


Mkurugenzi wa Idara ya huduma ya afya za mifugo Dkt.Abdi Hyghaimo akielezea jinsi nyaraka feki zilivyotumika katika kuingiza vifaranga

Baadhi ya makasha  yaliyokamatwa Airport yakiingia nchini kinyume na sheria

Baadhi ya maafisa wakichukua maelezo kuhusu vifaranga vilivyokamatwa airport kutokea Malawi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni