MKURUGENZI WA UZALISHAJI NA MASOKO BI.ANUCIATA NJOMBE KUTOKA WIZARA YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI AKIWASLIMIA WASHIRIKI WA MKUTANO HUO |
MWENYEKITI WA JUKWAA HILO BI.RUTH RYOBA AKIFUNGUA MKUTANO HUO |
WASHIRIKI WAKIWA TAYARI KABISA KUWASIKILIZA WATOA MADA KATIKA MKUTANO HUO |
WASHIRIKI WA MKUTANO WA SITA WA JUKWWA LA WADAU WA TASNIA YA MAZIWA NCHINI WAKISIKILIZA KWA MAKINI BAADHI YA MADA ZINAZOENDELEA KUTOLEWA |
MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI DKT.AICHI KITALYI AKMSIKILIZA KWA MAKINI MMOJA WA WASHIRIKI WA MKUTANO HUO ALIPOULIZA SWALI,HAYUPO PICHANI KULIA KWAKE NI DKT.MRUTU. |
WASHIRIKI WA MKUTANO HUO WAKIFUATILIA KWA UMAKINI MKUBWA MADA ZINAZOENDELEA KUTOLEWA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni