Nav bar

Jumatatu, 30 Mei 2016

MKUTANO WA SITA WA JUKWAA LA WADAU WA TASNIA YA MAZIWA (DDF) ULIOFANYIKA TAREHE 29/05/2016 KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE

MKURUGENZI WA UZALISHAJI NA MASOKO BI.ANUCIATA NJOMBE KUTOKA WIZARA YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI AKIWASLIMIA WASHIRIKI WA MKUTANO HUO

MWENYEKITI WA JUKWAA HILO BI.RUTH RYOBA AKIFUNGUA MKUTANO HUO

WASHIRIKI WAKIWA TAYARI KABISA KUWASIKILIZA WATOA MADA KATIKA MKUTANO HUO



WASHIRIKI WA MKUTANO WA SITA WA JUKWWA LA WADAU WA TASNIA YA MAZIWA NCHINI WAKISIKILIZA KWA MAKINI BAADHI YA MADA ZINAZOENDELEA KUTOLEWA



MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI DKT.AICHI KITALYI  AKMSIKILIZA KWA MAKINI MMOJA WA WASHIRIKI WA MKUTANO HUO ALIPOULIZA SWALI,HAYUPO PICHANI KULIA KWAKE NI DKT.MRUTU.

WASHIRIKI WA MKUTANO HUO WAKIFUATILIA KWA UMAKINI MKUBWA MADA ZINAZOENDELEA KUTOLEWA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE.

WIKI YA MAZIWA NCHINI,KITAIFA IMEFANYIKA KATIKA MKOA WA NJOMBE KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI MPECHE TAREHE 28/05/2016

MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI DKT AICHI KITALYI ALIYESHIKA MAIKI KUSHOTO AKIMKARIBISHA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA,HAYUPO PICHANI,KUSHOTO KWAKE NI ABDALA TEMBA KUTOKA WIZARA YA KILIMO ,MIFUGO NA UVUVI

KAIMU MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE.ANATORY CHOYA AMBAYE PIA NI MKUU WA WILAYA YA LUDEWA AKIMSIKILIZA KWA MAKINI DKT MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI DKT AICHI KITALYI,HAYUPO PICHANI

BAADHII YA WAFANYAKAZI WA BODI YA MAZIWA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI DKT AICHI KITALYI




MHE.ANATORY CHOYA ALIYESHIKA MAIKI AKIKAGUA BIDHAA ZITOKANAZO NA WAZIWA MOYA YA BANDA KATIKA VIWANJA VYA MPECHE SEKONDARI

KATIKA KUHAKIKISHA VIWANGO VYA UBORA WA BIDHAA YA MAZIWA NCHINI TBS NAO WALISHIRIKI

MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI BW.MARK TSOXO AKIMWELEZA MGENI RASMI CHANGAMOTO ZA MASOKO YA MAZIWA  WANAZO KUTANA NZAO


MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI BW.MARK TSOXO MWENYE SHATI NYEUPE  AKIWASHIRIKISHA JAMBO MWEKITI  WA BODI YA MAZIWA DKT AICHI KITALYI NA WAJUMBE WENGINE

BAADHI YA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE WALIOSHIRIKI KATIKA WIKI YA MAZIWA NCHINI

WANAFUNZI WA SHULE MCHANGANYIKO ZA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE WAKIINGIA KATIKA VIWANJA VYA MPECHE SEKONDARI KWA MAANDAMO




WANAFUNZI WA SHULE MSINGI MPECHI WAKIIMBA SHAIRI MBELE YA MGENI RASMI


VIONGOZI MBALIMBALI WALIOSHIRIKI WIKI YA MAZIWA NCHINI  WAKIWA MEZA KUU PAMOJA NA MGENI RASMI KATIKA VIWANJA VYA MPECHU SEKONDARI

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE BI.ILUMINATA MWENDA AKISALIMIA WAGENI KATIKA VIWANJA VYA MPECHI SEKONDARI

KAIMU MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE.ANATORY CHOYA AMBAYE PIA NI MKUU WA WILAYA YA LUDEWA AKIHUTUBIA WANANCHI WALIOFIKA KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA KATIKA VIWANJA VYA MPECHI SEKONDARI MKOANI NJOMBE

VIFARANGA 5000 VILIVYOKAMATWA AIRPORT KUINGIA NCHINI VIKITOKEA LILONGWE - MALAWI TAREHE 26/05/2016

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt Mary Mashingo akiongea na waandishi wa habari kuhusu uingizwaji holela wa vifaranga bila kufuata taratibu .


Mkurugenzi wa Idara ya huduma ya afya za mifugo Dkt.Abdi Hyghaimo akielezea jinsi nyaraka feki zilivyotumika katika kuingiza vifaranga

Baadhi ya makasha  yaliyokamatwa Airport yakiingia nchini kinyume na sheria

Baadhi ya maafisa wakichukua maelezo kuhusu vifaranga vilivyokamatwa airport kutokea Malawi

WARSHA YA KUHAMASISHA WATENDAJI NA WATAALAMU ZA AFYA YA MIFUGO KATIKA KUSIMAMIA SERA NA SHRIA MBALIMBALI ZA MIFUGO ILIYOFANYIKA MKOA WA MOROGORO TAREHE 25- 26/05/2016.


Katibu  Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (M) Dkt. Mary Mashingo akifungua warsha ya Mafunzo ya watendaji wa Sera na Sheria mbalimbali za mifugo hawapo pichani katika hoteli ya Edima mjini Morogoro

Mkurugenzi wa Huduma za afya ya Mifugo Dkt. Abdi Hyghaimo akitoa maelezo ya awali kwa mgeni rasmi 

Mjumbe wa mkutano huo Dkt. Thomas Kahema kutoka Tanzania Animal Welfate Society (TAWESO) akitoa mada inayohusu ustawi wa wanyama

Msajili wa Baraza la madaktari wa mifugo Tanzania Dkt. Bedan Masuruli akiwasilisha mada kuhusu sheria za veterinari
 

Picha ya pamoja ya wajumbe na Katibu Mkuu Kilimo, Mifugo na Uvuvi (M) Dkt. Mary Mashingo katika Warsha ya siku mbili (2)  ya kuhamasisha Utendaji wa taalamu za afya ya Mifugo

Jumatano, 25 Mei 2016

SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFISH)



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES
(FISHERIES)

SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFish) PROJECT-
IDA CREDIT No.5589-TZ

REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST

                                                             FOR            

TENDER No.ME/021/2015-16/SWIOFish/C/21 PROVISION OF INDIVIDUAL CONSULTANCY SERVICES FOR A SPECIALIST TO CONDUCT MONITORING AND EVALUATION OF THE SWIOFish PROJECT IN MAINLAND TANZANIA

This invitation for Expression of Interest (EoI) follows the General Procurement Notice for the South West Indian Ocean Fisheries Governance and Shared Growth program – SWIOFish that was published in the Development Business, issue No. WB 4892 of October, 2015.

The Government of the United Republic of Tanzania has received a Credit from the International Development Association (IDA) towards the cost of the SWIOFish program and intends to apply part of the proceeds for the consultancy service for a Specialist to conduct Monitoring and Evaluation of the SWIOFish project in Mainland Tanzania

The objective of the consultancy is to design and implement, based on existing plans and documents, the M&E strategy for SWIOFish Mainland, and to conduct the recurrent tasks related to said Monitoring and Evaluation.
The services include:-

i)     Develop an M&E system taking account of all aspects of the project’s implementation including outputs and outcomes, program plans, procurement and budget plans,  in terms of milestones and agreed dates.
ii)    Work closely on all project components, and ensure the timely, accurate, and complete data entry into the M&E system, in close collaboration with those who are involved in this activity;
iii)  Assist in the development and maintain the Management Information System (MIS) that tracks progress in all project components, ensuring that implementation targets are met and shared with stakeholders;
iv)  Assist in the development and maintain the DASHBOARD that tracks vital indicators in all levels, ensuring that project targets are met and shared with stakeholders and decision makers.
v)    Coordinate the compilation of project baseline and comparison data to assess project results in relation to the baseline and targets.
vi)  Prepare quarterly, semi-annual, and annual project reports of high quality that outline project implementation progress against the Project Development Objective and associated indicators, and ensure their timely submission to all relevant stakeholders.
vii) Coordinate the preparation of annual work plans and any other plans needed for project implementation.
viii)  Critically review of data collection tools used by implementing partners as required or where necessary and provide advice in improving these tools.
ix)  All other tasks mentioned in the PIM, and if required, update the Project Implementation Manual.
x)    Strengthen the monitoring and evaluation capacity of PIU staff and relevant stakeholders, and strengthen and encourage the use of data for making decisions.
xi)  Support the project coordinator in preparing and providing constructive performance-based feedback to PIU members.
xii) Undertake any other duties related to the above as may be assigned by the Project Coordinator

The Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries (MALF) now invites eligible and qualified  consultants  to express their interest in providing the specified service.  Interested consultants must provide information indicating that they are qualified to perform the services (brochures, description of similar assignments, experience in similar conditions, availability of appropriate skills among staff, etc.). Consultants may associate to enhance their qualifications.

A consultant  will be selected in accordance with the procedures set out in the World Bank’s Guidelines: Selection and Employment of Consultants by World Bank Borrowers; January 2011 revised July,2014.The Procurement Method will be Individual Consultant (IC)

Interested consultants  may obtain further information at the address below during office hours from 08:00 to 15:30 hours on Mondays to Fridays except on public holidays.

Expression of Interest in one original plus two (2) copies enclosed in a sealed envelope, clearly marked TENDER No.ME/021/2015-16/SWIOFish/C/21 Expression of Interest for a Specialist to conduct Monitoring and Evaluation of the SWIOFish project in Mainland Tanzania must be delivered to the address below by 10.00 hours local time on Tuesday 7th June, 2016 at Mvuvi House Room No. 2. Late Expressions of Interest shall not be accepted for evaluation irrespective of the circumstances.


Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries
Veterinary Complex, 131 Nelson Mandela Road
P.O.Box 9152, 15487 Dar es Salaam, Tanzania

Tel. No: +2252228619110, Fax No: +255222861.

Alhamisi, 19 Mei 2016

CLIMATE SMART AGRICULTURE (CSA) GUIDLINES NATIONAL VALIDATION WORKSHOP HELD AT MVUVI HOUSE CONFERENCE HALL 8 MAY 2016 DAR ES SALAAM.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Florence Turuka akisoma hotuba ya ufunguzi kwa wadau wa mkutano huo
mmoja wa wahisani kutoka Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) akitoa maelezo kwa wadau husika


washiriki wa warsha wakiwa katika vikundi wakijadili na kuchambua mada mbalimbali zilizowasilishwa kutoka kwa wataalamu

mmoja wa wanakikundi akiwasilisha uchambuzi mada zilizojadiliwa katika kikundi chake
mwanakikundi mwingine akiwasilisha vilevile mada iliojadiliwa kwenye kikundi chake


picha ya pamoja ni wadau wa mkutano wa (CSA) katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Florence Turuka 

KIWANDA BUBU CHA SAMAKI CHAFUNGWA KATIKA ENEO LA RAILWAY CLUB - GEREZANI TAREHE 17/05/2016 JIJINI DAR ES SALAAM


Maafisa  mbalimbali kutoka Idara na Taasisi za Serikali, (TFDA,TRA, Afya, Polisi) wakiingia ndani ya kiwanda bubu cha samaki
Bw. H. Mutagwaba Afisa Mfawidhi kanda ya Dsm na Pwani  akiendelea na zoezi  kufungua lango kuu la kiwanda hicho  akiwa na Bw. Bulongo Afisa Uvuvi kulia ni mwandishi wa habari kutoka ITV Bw. Spencer Lameck
Samaki aina ya kamba
Samaki aina ya mkule 
Samaki wakipakiwa kwenye magari kwenda feri kupigwa mnada
Samaki aina ya Kamba (Prones)
Samaki walioharibikiwa wakiwa tayari kuteketezwa
Hiyo ni mashine iliyokuwa inatumika kupozea chuma cha kuhifadhia samaki.








                          Moja ya gari lilokuwa limetumika kubeba samki kutoka kiwandani hadi feri           

Baadhi ya Samaki wakiwa wamehifadhiwa kwenye maboksi ndani ya kiwanda hicho                      
                      





Samaki walioharibika wakiteketezwa
Gari lakuteketeza samaki walioharibika

Maafisa usalama wakifunga kontena ambalo lina samaki kwa ajili ya kupigwa mnada