Nav bar

Jumatano, 17 Februari 2016

WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WATAMBULISHWA MPANGO BUNIFU WA KUENDELEZA SEKTA YA MIFUGO TANZANIA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI (MIKOA YA IRINGA, MBEYA,RUKWA NA RUVUMA M

Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma na Rukwa) nWakitambulishwa Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo ,Mkutano uliofanyika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mbeya


Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Mkoa wa Mbeya Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt Maria Mashingo Mwenye Miwani Katikati

Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Mkoa wa Iringa Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Maria Mashingo  Mwenye Miwani Katikati


Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Mkoa wa Ruvuma  Wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja na Katibu Mkuu Dkt Maria Mashingo na Mshauri Elekezi wa Mpango Bunifu Dkt Kaush Arha Nje ya Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mbeya
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni