Wataalamu wakiangalia mbwa mlemavu wa mguu |
Mbuzi mwenye mapacha wa tano (5) kijiji cha Wami Sokoine Wilaya ya Mvomero |
Ndama mlemavu wa mguu |
Ndama mlemavu akionekana kwa karibu |
Mfugaji akionesha kuku wa kienyeji wa Utafiti wa namna bora ya upatikanaji wa takwimu za mazao ya mifugo |
Ufuatiliaji wa takwimu za Uzalishaji maziwa katika zoezi la namna ya kuboresha upatikanaji wa takwimu hizo |
Mtafiti kutoka UNE kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo akifuatilia takwimu |
Watafiti wakifafanua mambo mbalimbali yanayohusu Utafiti wa Ukusanyaji wa takwimu za mifugo |
Wafugaji wakifuatilia maelekezo ya namna ya utekelezaji wa zoezi la takwimu |
Wafugaji wakiwa katika moja ya namna ya utoaji taarifa kwa kutumia majadiliano na michoro |
Maandalizi ya ugawaji wa vifaa vya zoezi la kukusanya takwimu za mifugo |
Watafiti na Wafugaji katika picha ya pamoja |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni