Nav bar

Ijumaa, 2 Oktoba 2015

MKUTANO WA MSEMAJI WA WIZARA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA SHAMBA LA RUSHU RUNCHI KISARAWE - MAFIZI ILIYOFANYIKA TAREHE 01/10/2015

Msemaji wa Wizara ya  Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bi. Judith Mhina akifungua Mkutano huo uliofanyika  Kisarawe tarehe 01/10/2015
Mmoja kati ya madume ya Ngombe wa nyama aina ya Borani yanayofungwa katika Rushu Ranchi
Afisa habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Fatma akijitambulisha kwa Wadau na Washiriki

Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akielezea mafanikio na changamoto zilizopo katika Rushu Ranchi iliyopo Wilaya ya Kisarawe

Msajili wa Bodi ya Nyama Bi. Suzan Kiango akiongelea utunzaji wa nyama bora inapotoka machinjioni
Dkt. Herbert Lyimo Mkurugenzi wa Utafiti na Ugani akielezea tekinolojia mpya ya kielectroniki iliyoanza kutumika kusajili mifugo
Wadau na Washiriki wa Mkuatno huo wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Dkt. Hamisi Mkuli  Idara ya Ukuzaji viumbe kwenye maji (hayupo pichani)
Afisa Mifugo kutoka Wilaya ya Kisarawe akielezea mafanikio ya Rushu Ranchi pamoja na ushrikiano mzuri walionao na Wanakijiji
Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anusiata Njombe akijibu maswali yaliyoulizwa na Bw. Mapunda (hayupo pichani)
Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akionesha mmoja wa ngombe wa nyama




Mfugaji kutoka Wilaya ya Rufiji Bw. Gumbo Matubuki akijitambulisha kwa Wahiriki wa Mkutano huo
Baadhi ya Ngombe Dume aina ya Borani katika Ranchi Rushu




Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anuciata Njombe akitembelea mifugo mbalimbali katika shamba la Rushu Rachi





Makundi mbalimbali ya mbuzi waliopo katika Rushu Ranchi




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni