Nav bar

Jumatatu, 31 Agosti 2015

ZIARA YA MHE. WAZIRI DKT TITUS KAMANI KATIKA SHAMBA LA NGURUWE TANDAN LTD - MKURANGA TAREHE 31/08/2015

Waziri wa Maendeleo ya Miugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha wageni mara tu alipofika TANDAN FARMS LIMITED Mkuranga
Nguruwe aina ya white large kutoka Denmark katika shamba la Tandan Farms Ltd
Nguruwe akinyonyesha watoto wake
Mkurugenzi wa TANDAN FARMS LTD Bw. Nicholaus Kampa katikati akitoa maelezo mafupi kwa Mhe. Waziri kuhusu ufugaji wa Nguruwe
Muonekano wa banda noja wapo la Nguruwe  lililopo MkurangaNguruwe aina ya Durock kutoka Denmark katika shamba la Tandan Farms Ltd

Waziri wa Maendeleo ya Miugo na Uvuvi Dkt. Titus Kaman akijibu maswali kutoka waandishi wa habari kuhusu uendelezaji wa ufugaji wa nguruwe


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni