Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Bw. Hab Mkwizu akifungua rasmi The 1st e Government annual Conference 2015 AICC Arusha katika ukumbi wa Simba hall |
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao Dr. Jabiri K. Bakari akitoa maelezo mafupi kuhusu mkutano huo |
Bw. Tan Kim Leng kuoka Singapore akiwasilisha uzoefu wa Nchini Singapore jinsi walivyofanikiwa katika matumizi ya e Government |
Mkutano umepambwa na bidhaa mbalimbali za asili kutoka kwa Wajasiriamali Mkoani Arusha |
Baadhi ya Washiriki wakiwa katika mkutano wakifuatilia mada inayotolewea |
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. Edoh Mapunda akiwakaribisha Washiriki wa Mkutano |
Mgeni Rasmi Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Bw. Hab Mkwizu akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Habari |
Mgeni rasmi Bw. Hab Mkwizu akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa TEHAMA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni