Nav bar

Jumapili, 21 Juni 2015

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA TAREHE 18/06/2016

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinyi (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mratibu wa Maonyesho upande wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bibi Judith Mhina wa kwanza kushoto, Afisa Uvuvi Mkuu Bibi Frida Mndambi na Mtafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Mpwapwa Bw Mbeho na wa pili kushoto ni Pilot wa Mkurugenzi wa Uvuvi

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinti akiangalia Mbuzi Bora Aina ya Malya au Blended ambao wanakua kwa haraka na wanatoa maziwa kati ya lita 2-3 na ukimchinja ana nyama nyingi Njoo uwanja wa Mnazi Mmoja Ununue  kwa kuboresha mbegu ya Mifugo yako

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinti akiangalia Mbuzi Bora Aina ya Malya au Blended na Mtafiti Bw Mbeho kutoka TALIRI - MPWAPWA 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni