Katibu Mkuuwa Wizara
ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba Akiongea na Bi Joyce
Daffa ambaye anawakilisha Banda la Huduma za Mifugo katika Maonesho ya
Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar-Es-Salaam
Katika picha ni Bibi Mary Yongolo wa Utafiti Ugani na Mafunzo kushoto Bibi Judith Mhina Mwasiliano katikati na Bibi Martha Ngwira wa Uzalishaji Mifugo na Masoko |
Add caption |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni