Katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara akisalimiana na Wavuvi Wadogowadogo kutoka Ferry Dar-es-salaam |
Katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara akisalimiana na Wavuvi Wadogowadogo kutoka Ferry Dar-es-salaam |
Katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara akisalimiana na Wavuvi Wadogowadogo kutoka Ferry Dar-es-salaam akibadilishana nao mawazo kabla ya kuingia katika Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugo |
Aliyesimama ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashid Hoza |
Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Wadau wa sekta ya Uvuvi kabla ya kuingia katika Kikao na Kamati ya Bunge ya Kilimo , Maji na Mifugo |
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi akisalimiana na Wadau wa Sekta ya Uvuvi waliotokea Ferry Dar-es-salaam |
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi akisalimiana na M/Kiti wa Wadau wa Sekta ya Uvuvi waliowasilisha Hoja zao kwa Kamati ya Bunge wanatokea Ferry Dar-es-salaam |
Wadau wa Sekta ya Uvuvi, Wavuvi Wadogo wadogo wametokea Ferry Dar-es-salaam |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akiwa na Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi katika jengo la Bunge |
Bw Emannuel Bulai Afisa Uvuvi Mkuu akiwa na Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi katika jengo la Bunge, wakibadilishana mawazo |
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Dkt Martin Ruheta, akisalimiana na Wadau wa Sekta ya Uvuvi |
Wadau wa Sekta ya Uvuvi wakiwa wamepumzika kabla ya kuingia katika kikao cha Kamati ya Kilimo , Maji na Mifugo |
Mkurugenzi wa Uzalisahaji Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe mwenye miwani |
Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugochini ya M/Kiti Mhe Peter Msolwa , ikifatilia Hoja zilizotolewa za Wavuvi Wadogowadogo wa Soko la Ferry Bungeni Dodoma |
Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugochini ya M/Kiti Mhe Peter Msolwa , ikifatilia Hoja zilizotolewa za Wavuvi Wadogowadogo wa Soko la Ferry Bungeni Dodoma |
Afisa Uvuvi Mkuu Bw Emmanuel Bulai akifatilia Kero za Wavuvi Wadogowadogo Bungeni Dodoma |
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi akifatilia jambo wakati wa kubadilishana mawazo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu |
Usishangae hii ni Tai ya Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi yenye picha ya Samaki |
Sekretariet ya Idara ya Maendeleo ya UvuviKushoto Bw Katunzi katikati Jovice Mkuchu na Kulia ni Bi Merincia |
Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw Lugali wakati wa Kikao cha Bunge cha Kamati ya Kilimo Maji na Mifugo Dodoma |
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi Tabu Chando |
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisis ya Utafiti wa Uvuvi Dkt Shoko mwenye miwani |
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashid Hoza |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni