Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Kamani alipotembelea shamba la samaki wa mapambo aina ya Cichild Farm Ukonga, samaki wanaopatikana ziwa Tanganyika wenye upekee duniani |
Waziri Kamani akionyesha samaki wa aina mbalimbali ambao alipata maelezo yake jinsi ya kuwapata, kuwahifadhi kuwasafirisha na kukaa kwa muda Cichld Farm Ukonga kabla ya kusafirishwa nje ya nchi |
Waziri Kamani akijaribu kumkamata mmoja wa samaki hao na kumuangalia kwa karibu, pembeni mwa Waziri mwenye kofia ni Meneja anayehudumia shammba hilo Bw Yusuf Mohammed |
Kifaa aina ya Scoop kinaachotumika kumchota samaki bila kupata madhara |
Muangalizi wa shamaba na mtaalam wa kusafirisha samaki kutoka Kigoma mpaka Dar-es-salaam |
Mpiga picha wa TBC - 1 Bi Eva Sessoa ,Mwandishi na Mpiga picha alikuwa mmoja wapo waliotembelea shamba hilo kw aajili ya kuhabarisha Umma mwenye video camera |
Mkurugenzi wa shamba la Ukonga Cichild Farm akimshukuru Mhe Kamani kwa kutembelea shama lake |
Mhe Waziri Kamani akijibu baadhi ya Changamoto zinazokabili shamba hilo na kuwaelekeza kushirikiana na Wizara kupitia Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye Maji, ili kutatua changamoto hizo |
Mkurugenzi wa Shamba la Ukonga Cichild Farm Bibi Sophia Mruma |
Mtaalam wa kudaivu Bw David akielezea changa moto za kudaivu mita 30 chini kutafuta samaki wa mapambo |
Mkurugenzi wa shamba la Ukonga Cichild Farm akiagana na Mhe. Waziri Kamani |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni