Nav bar

Jumatatu, 10 Machi 2014

MKUTANO WA WADAU SEKTA YA UVUVI TAREHE 07/03/2014 KATIKA UKUMBI WA VETA DODOMA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani akiongea na Wadau wa Sekta ya Uvuvi wakati wa Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya VETA Dodoma Pembeni mwa Waziri ni Kaimu Mkurugenzi  Bibi Valeria Mushi 

Muwakilishi wa Benki ya NMB alitoa Mada ya upatikanaji wa Mikopo kwa Wadau wa Sekta ya Uvuvi

Mwakilishi wa Benki ya Twiga BANCOCK ambaye naye aliwakilisha ni jinsi gani Benki yake inaweza kusaidiana na Wadau wa Sekta ya Uvuvi Bw ....................

Muwakilishi wa Benki ya CRDB BW .................ambaye alitoa tamko la kufungua milango wazi kwa Wadau wa Sekta ya Uvuvi 


Muwakilishi wa Wadau wa Sekta ya Uvuvi kutoka Mkoa wa Tanga  BW Mohamed ambaye anatokea eneo la Deep Sea Tanga


Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bibi Valeria Mushi akiwa na Mjumbe na Secretariet ya Kikao cha Wadau ambaye pia ni Mkurugenzi Msaidizi upande wa Maji Baridi BW Kajitanus Osewe

Naibu Mkurugenzi Mkuu Bw Rashid Hoza pembeni kushoto akifatilia kwa makini kikao na kati ni Kaimu Meneja Mkuu wa MPRU Dkt Machum  na mwisho ni Kaimu 

Mkurugenzi Msaidizi Bibi Ritha Maly akiandika yanayosemwa na Wadau wa Sekta ya Uvuvi Wakati wa Kikao cha Wadau wa Sekta ya Uvuvi uliofanyika Hoteli ya VETA Dodoma
Mkuu wa Idara ya Maabara ya Nyegezi Mwanza  Bw Lukanga  akifatilia maelezo yanayotolewa na Mhe Waziri katika Kikao hicho cha Wadau 


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAFIRI Dkt Msigani akisalimiana na Mmoja wa Mjumbe aliyehudhuria kikao hicho cha Wadau wa Sekta ya Uvuvi 


Bibi Ritha Maly Mkurugenzi Msaidizi Uzalishaji Viumbe kwenye Maji  Chumvi 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni