Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Kisaka Meena, akifungua kikao cha Menejimenti cha kupitia nyaraka muhimu za Mradi wa TASFAM ulioudhuriwa na wakuu wa Idara, Vitengo na wajumbe wengine muda mfupi baada ya kufika kwenye ukumbi wa wizara Septemba 25, 2023.
Sehemu ya washiriki wa kikao cha Menejimenti cha kupitia nyaraka muhimu za Mradi wa TASFAM wakimsikiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu Sekta ya Uvuvi Bi. Agness Meena (hayupo pichani) wakati akifungua kikao hicho kwenye ukumbi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi mtumba jijini Dodoma Septemba 25,2023.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Kisaka Meena (wa sita kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Sekta ya Uvuvi iliyokutana kujadili nyaraka muhimu za Mradi wa TASFAM ulioudhuriwa na wakuu wa Idara, vitengo na wajumbe wengine katika ukumbi wa Wizara Septemba 25, 2023.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni