Nav bar

Jumapili, 27 Agosti 2023

MAFUNZO YA UFUGAJI MAJONGOO BAHARI YATOLEWA WILAYANI BAGAMOYO

 


Mkurugenzi Msaidizi wa Ugani na Ukuzaji wa Viumbe Maji Bw. Anthony Dadu akitoa salama za utangulizi katika mafunzo hayo kwa vikundi vitano (5) kutoka Bagamoyo ambavo vimepatiwa Elimu ya  muendelezo wa Shuguli za Ufugaji wa Majongoo Bahari,  Ukulima wa Mwani na Unenepeshaji wa Kaa katika kuelekea katika Uchumi wa Buluu.


Mkufunzi kutoka Wakala wa Mafunzo ya Uvuvi FETA - Mikindani Bw. Hamis Salehe akitoa elimu ya Ufugaji wa Jongoo Bahari, Kilimo Cha Mwani na Unenepeshaji wa Kaa kwa wanachama wa vikundi kutoka Bagamoyo, tarehe 18/08/2023.


Wanachama wa vikundi waliopata elimu ya ukuzaji wa viumbe maji ikiwemo Unenepeshaji wa Kaa, ufugaji wa Jongoo Bahari na Kilimo cha mwani wakimsikiliza Mkufunzi kutoka Wakala wa Mafunzo ya Uvuvi FETA kutoka  Kampasi ya Mikindani Hajupo pichani tarehe 18/08/2023 Wilayani Bagamoyo.


Juu: Picha ya pamoja na wana vikundi waliopata mafunzo, na     Chini:  Muonekano wa shamba la Jongoo Baharii Kaole - Bagamoyo

Ufugaji wa Jongoo Bahari Kaole - Bagamoyo


Shamba la Jongoo Bahari Kaole - Bagamoyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni