Katibu Mkuu wa wizara ya Mifugo na Uvuvi ( sekta ya Uvuvi) Dk Rashid Tamatamah ( aliyesimama) akiwatambulisha wageni kutoka kampuni ya ALBACORA GROUP wa nchini Hispania ( waliokaa kulia) kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki na Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Abdallah Ulega. Kwenye kikao kilichofanyika ofisi za wizara NBC, Dodoma, tarehe 20 Oktoba 2022. Lengo la ugeni huo ni kuona uwezekano wa wizara hiyo kuwasaidia kupata hekta elf 20 za ardhi kwa ajili ya kuwekeza kiwanda cha samaki jamii ya Tuna, kiwanda hicho kitachukua zaidi ya wafanyakazi elf 1 wakitanzania, na ( kushoto) ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya bahari kuu Zanzibar Dkt. Emmanuel Sweke.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Mashimba Ndaki (katikati) na Naibu Waziri Abdallah Ulega (kushoto kwake) katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya kampuni ya ALBACORA GROUP kutoka Hispania ambao wamekuja nchini kwa lengo la kuona uwezekano wa wizara kuwasaidia kupata ardhi ya hekta elfu 20 kwa ajili ya kuwekeza kiwanda cha samaki jamii ya Tuna, kiwanda hicho kitachukua zaidi ya wafanyakazi watanzania elf moja. Tukio hili limefanyika katika Ofisi za Wizara zizopo NBC Mjini Dodoma leo tarehe 20/ 10/2022.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni