Nav bar

Ijumaa, 30 Septemba 2022

WAZIRI NDAKI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA

 


Waziri  wa Mifugo na Uvuvi Mh.Mashimba Ndaki akiwa kwenye kikao na Ujumbe toka Banki ya Dunia ofisini kwake na baadhi ya watendaji wa Wizara kwa lengo la kujadili Maeneo ya takayofadhiliwa na Banki ya Dunia  Baadhi ya Maeneo ni pamoja na ,Ufadhili katika uanzishwaji wa vituo Atamizi vya Mifugo na Ukuzaji viumbe Maji (Uvuvi), Kuiwezesha NARCO , Masuala ya Uhimilishaji na Utafiti Katika Sekta za Mfugo na Uvuvi.Ambapo Mheshimiwa Waziri aliwashukuru na kuahidi yuko tayari kushirikiana nao katika maeneo yaliyoinishwa    ya ufadhili wa Banki ya Dunia.Kikao kimefanyika ofisi za Wizara NBC Dodoma (23.09.2023)


Picha ya pamoja ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Katikati Mh.Mashimba Ndaki na Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo Tixon Nzunda wa kwanza kushoto, na Mkuu wa msafara wa Banki ya Dunia Holger  kray kushoto kwa waziri Mashimba Ndaki,na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji, Dkt.Hamisi Nukuli wa kwanza kulia (23.09.2023).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni