Nav bar

Jumatatu, 2 Agosti 2021

KATIBU MKUU SEKTA YA UVUVI DKT. RASHID TAMATAMAH AFANYA MAZUNGUMZO NA WASHAURI KUTOKA AGRONOMOS SIN FRONTERAS FOUNDATION.


 Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi ( Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washauri kutoka Agronomos Sin Fronteras Foundation, wa pili kutoka kulia ni Dkt. Miguel Salvo Mendivil, wa  pili kutoka kushoto ni Bw. Klaus Poppe na watumishi wa Sekta ya Uvuvi  mara baada ya kufanya mazungumzo ofisini kwake leo 02/08/2021 Mtumba Jijini Dodoma, lengo likiwa ni kusaidia kuweza kupata  msaada kutoka  Serikali ya Spain kupitia mfuko wao unaojulikana kama COVID - 19 Recovery Fund, Aidha miradi iliyopendekezwa kuwasilishwa kwa ajili ya msaada huo  ni pamoja na ujenzi wa kiwanda cha kuchakata Mazao ya Uvuvi kupitia Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), kuangalia uwingi  wa samaki katika ukanda wa uchumi wa Bahari kuu, kufanya ubia na makampuni ya Spain katika Uvuvi wa Bahari kuu kupitia TAFICO na kuingiza masuala ya ufugaji viumbe maji katika mradi wa Kilimo unaotarajiwa kuanzishwa Mkoani Iringa. 

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni