Nav bar

Jumanne, 21 Julai 2020

MSAJILI WA BARAZA LA VETERINARI AKAGUA BAADHI YA MADUKA YA HUDUMA ZA PEMBEJEO ZA MIFUGO - DODOMA

Msajili wa Baraza la Veterinari Tanzania, Dkt. Bedan Masuruli akikagua moja ya Duka la utoaji huduma za Pembejeo za Mifugo la Blessing Agrovet Techical. Kushoto ni Bi.  Upendo Hamisi ambae ni mtoa huduma katika duka hili. (17.07.2020)

Msajili wa Baraza la Veterinari picha ya kwanza (kulia) akifunga Duka la Blessing Agrovet Technical kwa kufuli lake. Wa kwanza kushoto ni mtoa huduma za Mifugo katika duka hilo, Bi. Upendo Hamisi akitii amri ya kufunga duka kwa kufuli kutokana na kushindwa kutimiza baadhi ya masharti muhimu ya utoaji huduma kwa kutokuwa na daktari wa mifugo aliyesajiliwa na kutohuisha jina la mtoa huduma katika Baraza la Vetenari ili awe kuwa na uhalali wa kutoa huduma. (17.07.2020)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni