Katibu Mkuu Mifugo Prof. Elisante Ole. Gabriel leo atambulisha
Wakurugenzi wapya katika kikao cha Wakuu wa Vitengo na Idara kilichofanyika katika Ukumbi wa
NBC Leo.
# Prof. O. Gabriel, alisisitiza Wakurugenzi kujifunza kwa
watu na kuwa na Ushirikiano.
#KM aliwataka Wakurugenzi kuwa wabunifu katika kazi zao ili
kuinua Sekta.
# Prof. aliwaomba Wakurugenzi kukabiliana na changamoto
zilizopo na kuunganisha nguvu kwa pamoja ili kuzitatua.
# Alisisitiza kujenga utamaduni wa Kushirikiana kwa pamoja
na kufanya kazi kwa Ushirikiano.
Katibu Mkuu Mifugo, Profesa Elisante Ole Gabriel ampongeza na kumkaribisha Kaimu Mkuu mpya wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Rehema ,bulalina, leo katika ukumbi wa NBC |
KM Mifugo Profesa Elisante Ole Gabriel ampongeza na kumkaribisha Mkurugenzi mpya wa Idara ya Huduma za Mifugo Dkt. H. Nonga, Leo katika ukumbi wa NBC |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni