MASHINDANO YA KUVUA SAMAKI YALIYOFANYIKA TAREHE 10/09/2017 JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi Bi. Fatma Sobo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Uvuvi akitoa neno kwa wavuvi katika mashindano hayo yaliyofanyika BMU Msasani


Bw. Ally mshindi wa 3 katika mashindano ya uvuvi alipatiwa zawadi na Bi. Fatma Sobo (Kaimu Mkurugenzi) yenye thamani ya Tshs laki tano


picha ya pamoja na wavuvi



Pichani ni mshindi wa kwanza Bw. Issa alievua samaki kilo 75 ambapo alipewa zawadi yenye thaman ya tshs milioni nne na lakitatu kutoka kampuni ya YAMAHA pamoja na zawadi nyingine kutoka Wzarani


Bw. Mohamed Omari mshindi wa pili alipatiwa zawadi yenye thamani ya tshs milioni moja na elfu hamsini


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

LESENI, VIBALI VYA MAZAO YA MIFUGO NA VYAKULA VYA SAMAKI KUTOLEWA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

DKT. MHEDE AONGOZA ZOEZI LA UCHANJAJI WA MIFUGO MKOANI IRINGA, WAFUGAJI WAPONGEZA HATUA YA SERIKALI

SERIKALI KURASIMISHA BIASHARA YA MABONDO