Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Mwigulu Nchemba akisaini kitabu cha wageni baada ya kufika katika kijiji cha Dihombo wilani Mvomero |
Mhe.Waziri Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe Dr.Maria Mashingo katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Bi.Betty Mkwassa. |
Baadhi ya wanachi wa vijiji vya Dihombo na Kambala wakiwa tayari eneo la mkutano
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dr.Maria Mashingo akitambulisha wageni aliofuatana nao kutoka Wizarani |
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Bw.George Lucas Mkindo akieleza mikakati waliyojipangia ili kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji |
Mbunge wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Mhe.Sulman Ahmed Sadiq akiongea na wanachi wa Jimbo hilo |
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Dr.Rajabu Rutengwe akimkaribisha Mhe.Waziri ili azungumze na Wananchi. |
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Mwigulu Nchemba akiwahutubia wanachi wa Vijiji vya Dihombo na Kambala |
Wananchi wakimsikiliza waziri,hayupo Pichani |
Mzee Iddi Ally wa kijiji cha Dihombo akimweleza Waziri juu ya uvamizi wa shamba lake lenye Ekari zaidi ya 20 lililovamiwa na Wagaji. |
Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi.Anuciata Njombe akiteta jambo na Katibu Mkuu Dr.Maria Mashingo katika kijiji cha Kambala. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni