Konteina lililohifadhi samaki walioharibika likifunguliwa kwa ajili ya kupakiza samaki na kuwapeka Dampo kwa ajili ya kuharibiwa. |
Samaki wakipimwa kutoka kwenye konteina tayari kwa kupakiwa kwenye trekta kuelekea Pugu kinyamwezi Dampo |
Samaki wakishushwa kwenye Trekta katika Dampo la Pugu kinyamwezi tayari kwa kuharibiwa |
Afisa Uvuvi Manispaa ya kinondoni,Jovice Mkuchu na Afisa kutoka Sunrise Food Company wakijadiliana jambo wakati wa kuharibu Samaki hao katika Dampo la Pugu Kinyamwezi. |
Samaki hao wakisagwasagwa katika dampo la Pugu Kinyamwezi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni