Nav bar

Jumatatu, 22 Septemba 2014

KIKAO CHA MWAKA CHA 58 CHA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI

Mhe. Dr. Titus Mlengeya Kamani (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb), Waziri wa Sayansi na Teknolojia na Katibu Mkuu, Wizara ya Sayansi na Teknolojia Prof. Patrick Makungu wakifuatilia kikao cha 58 cha Shirika la nguvu za atomiki Duniani (58th General Conference of the International Atomic Energy Agency) unaofanyika Vienna nchini Austria kuanzia tarehe 22-26 Septemba, 2014.

Maoni 1 :

  1. Je mabomu ni zana za kivita au ni nyenzo ya kuvulia samaki?
    tumetoka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi kwasababu mabomu yaliyotengenezwa kienyeji yametumika kuwaua wanajeshi huko Songea

    JibuFuta