KAMANI ASHIRIKI UZINDUZI WA “OKOA MVUVI ZANZIBAR”
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Ng’wasi Kamani ameshiriki uzinduzi wa programu ya “Okoa Mvuvi” zanzibar uliofanyika kwenye kiwanja cha Magarawa visiwani Zanzibar Agosti 10,2026.
Programu hiyo imezinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah.





Maoni
Chapisha Maoni