Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na baadhi ya viongozi na watendaji wa Ubalozi wa Tanzania nchini China na wale wa sekta ya Uvuvi nchini muda mfupi baada ya kufika kwenye ofisi za ubalozi huo Julai 03, 2023.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni