Nav bar

Ijumaa, 14 Aprili 2023

WAZIRI ULEGA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA POLAND NCHINI TANZANIA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akiongea na Balozi wa Poland nchini Tanzania, Mhe. Krysztof Buzalski (hayupo pichani) wakati balozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea Waziri huyo Ofisini kwake jijini Dodoma Aprili 13, 2023. Lengo la ziara yao hiyo ni kujadiliana kuhusu fursa za uwekezaji hususan kwenye ufugaji wa kuku na uzalishaji wa chakula cha kuku. Kushoto ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe.

Balozi wa Poland nchini Tanzania, Mhe. Krysztof Buzalski (katikati) akiongea na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (hayupo pichani) alipomtembelea Waziri huyo Ofisini kwake jijini Dodoma Aprili 13, 2023. Lengo la ziara yake ni kujadiliana kuhusu fursa za uwekezaji hususan kwenye ufugaji wa kuku na uzalishaji wa chakula cha kuku.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni