Nav bar

Alhamisi, 13 Aprili 2023

PROF. SHEMDOE AFANYA UKAGUZI KATIKA KAMPUNI YA QUIRO INAYOTENGENEZA BOTI - ZANZIBAR


Katibu mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof Riziki Shemdoe (wa kwanza kushoto) na Naibu katibu Mkuu sekta ya uvuvi, Bi Agness Meena (katikati) wakifanya ukaguzi wa utengenezaji wa maboti kwa ajili ya kukopesha wananchi katika kampuni ya Qiro, Ukaguzi huo umefanyika zanzibar leo tarehe 06.04.2023, Ikiwa ni zoezi la ukaguzi wa ghafla na ambao ni endelevu katika maeneo yote ya miradi ya wizara ya mifugo na uvuvi.(kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya kutengeneza maboti ya Uvuvi  ya Quiro.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof Riziki Shemdoe (watatu kushoto),  Naibu katibu Mkuu wa sekta ya uvuvi Bi. Agness Meena (wanne kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa kampuni ya Qiro ya kutengeneza boti za uvuvi (watano kulia) Bw.Yang Hao na team ya ukaguzi wa  maboti kwa ajili ya kukopesha wananchi katika kampuni ya Qiro, Ukaguzi huo umefanyika zanzibar leo tarehe 06.04.2023.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni