Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma, Ntime Mwalyambi akifungua warsha ya
kujadili na kuthibitisha tafiti ya changamoto na fursa za kijinsia katika
mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika iliyofanyika kwenye ukumbi wa
NSSF mkoani Kigoma, ambapo amesema kuwa tafiti hiyo inaweza kutumika katika
ujumuishaji wa masaula ya jinisia katika Uvuvi kwa kuzingatia ushiriki wa
makundi yote kwa usawa. (12.04.2023)
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uvuvi, Bi. Upendo Hamidu akitoa salamu za Wizara ya Mifugo na Uvuvi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua warsha ya kujadili na kuthibitisha tafiti ya changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika iliyofanyika kwenye ukumbi wa NSSF mkoani Kigoma. (12.04.2023)
Prof. Anna Sikira, kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) - Kampasi ya Mizengo Pinda – Katavi akiwasilisha mada juu ya utafiti uliofanyika kuhusu changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika kwenye Warsha ya kujadili na kuthibitisha tafiti ya changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika iliyofanyika kwenye ukumbi wa NSSF mkoani Kigoma. (12.04.2023)
Afisa Dawati Mradi wa FISH4ACP, Masui Munda akifafanua jambo mara baada ya mada kuhusu utafiti uliofanyika kuhusu changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika kuwasilishwa kwenye Warsha ya kujadili na kuthibitisha tafiti ya changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika iliyofanyika kwenye ukumbi wa NSSF mkoani Kigoma. (12.04.2023)
Mratibu wa Mradi wa FISH4ACP, FAO Tanzania, Hashim Muumin (kushoto) akielezea namna mradi ulivyosaidia kufanyika kwa utafiti kuhusu changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika kwenye Warsha ya kujadili na kuthibitisha tafiti ya changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika iliyofanyika kwenye ukumbi wa NSSF mkoani Kigoma. (12.04.2023)
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma, Ntime Mwalyambi (katikati waliokaa)
akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki warsha ya kujadili na
kuthibitisha tafiti ya changamoto na fursa za kijinsia katika mnyororo wa
thamani wa samaki wa Ziwa Tanganyika iliyofanyika kwenye ukumbi wa NSSF mkoani
Kigoma mara baada ya kuifungua. (12.04.2023)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni