Nav bar

Jumatano, 25 Januari 2023

SEKTA YA UVUVI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe. Dkt. Christine Ishengoma (kulia) wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya sekta ya Uvuvi kwa kipindi cha nusu mwaka wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo (18.01.2023) kwenye moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma.


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (aliyesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha kamati ya kudumu ya Kilimo, Mifugo na Maji kilichofanyika leo (18.01.2023) kwenye moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah (aliyesimama) akifafanua kuhusu matumizi ya fedha za miradi ya sekta ya Uvuvi wakati wa kikao cha kamati ya kudumu ya Kilimo, Mifugo na Maji kilichofanyika leo (18.01.2023) kwenye moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma.


Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Mipango Bw. Mbaraka Stambuli (kulia) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Sekta ya Mifugo kwa kipindi cha nusu mwaka wakati wa kikao cha kamati ya kudumu ya Kilimo, Mifugo na Maji kilichofanyika leo (18.01.2023) kwenye moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma.


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifuatilia uwasilishwaji wa  taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Sekta ya Mifugo kwa kipindi cha nusu mwaka wakati wa kikao cha kamati hiyo na watendaji wa sekta ya Mifugo kilichofanyika leo (18.01.2023) kwenye moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma.


Sehemu ya watendaji kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya sekta  hiyo kwa kipindi cha nusu mwaka wakati wa kikao cha kamati ya kudumu ya Kilimo, Mifugo na Maji kilichofanyika leo (18.01.2023) kwenye moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma.


Sehemu ya watendaji kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya sekta  hiyo kwa kipindi cha nusu mwaka wakati wa kikao cha kamati ya kudumu ya Kilimo, Mifugo na Maji kilichofanyika leo (18.01.2023) kwenye moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni