Nav bar

Jumatano, 7 Desemba 2022

WATAALAM WAJENGEWA UWEZO WA KUZALISHA BIDHAA ZENYE UBORA NA USALAMA KWA AJILI YA MASOKO YA KIMATAIFA

 


Mkurugenzi wa Maendeleo ya Viwanda, Dkt.Wilson Lugano akifungua Warsha ya siku tatu ya Wataalam wa Mifugo, Kilimo, Uvuvi, Viwanda, Taasisi ya Viwango ya Taifa (TBS) na Maabara za Ubora wa Bidhaa za Vyakula ili kuwajengea uwezo wa kuzalisha  Bidhaa zenye Ubora na Usalama kwa ajili ya Masoko ya Kimataifa.   Warsha hiyo imefanyika kwenye Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma. (29.11.2022)


Picha ya pamoja ya Washiriki wa Warsha ya siku tatu ya Wataalam wa Mifugo, Uvuvi, Kilimo, Viwanda, Taasisi ya Viwango ya Taifa (TBS) na Maabara za Ubora wa Bidhaa za Vyakula mara baada ya kufunguliwa kwa warsha hiyo yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuzalisha  Bidhaa zenye Ubora na Usalama kwa ajili ya Masoko ya Kimataifa iliyofanyika kwenye Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma. (29.11.2022)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni