Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi ( sekta ya Uvuvi) Dkt. Rashid Tamatamah akishiriki kikao kwa njia ya mtandao cha kupitia taarifa ya Uchambuzi wa Kutathmini Mnyororo wa Thamani wa Uvuvi katika Bahari ya Hindi (VCA4D) iliyofanywa na kampuni ya Agrinatural kwa kushirikiana na European Union (EU), Kikao hicho kimehusisha viongozi mbalimbali na taasisi zikiwemo DFSA, TAFIRI, TAFICO, MPRU pamoja na baadhi ya wataalam kutoka Wizarani ( Sekta ya Uvuvi ). Katibu Mkuu ameshiriki kikao hicho katika ofisi za Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma. (30.11.2022)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni