Nav bar

Jumatano, 3 Agosti 2022

YALIYOPO KWENYE MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KATI

 

Pichani ni panya wanaojulikana kitaalam kama "panya wa maabara"  ambao hutumiwa na Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kwenye hatua za utambuzi wa magonjwa mbalimbali ya Mifugo nchini.

Afisa Mfawidhi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) kituo cha Kongwa Bw. Salum Kuwi (kushoto), akitoa maelezo kwa wadau wa Ufugaji kuhusu mbegu za malisho aina ya "Cenchrus ciliaris" au "Buffel Grass" walipotembelea leo (02.08.2022)  kwenye banda la Maonesho ya NaneNane kanda ya kati yanayoendelea jijini Dodoma.

Mkuu wa wilaya ya Pangani Mhe. Ghaibu Lingo akisaini kitabu cha wageni leo (02.08.2022) muda mfupi baada ya kufika kwenye banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye maonesho ya NaneNane kanda ya Mashariki yanayoendelea Mkoani Morogoro.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni