Nav bar

Jumamosi, 4 Juni 2022

UONGOZI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA MJI WA SERIKALI mTUMBA - JIJINI DODOMA

 

Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akipanda mti kuashiria ushiriki wa Wizara katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti katika Mji wa Serikali, Mtumba, jijini Dodoma lililozinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Juni Mosi, 2022.


Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Dkt. Charles Mhina akiumwagia maji mtu alioupanda kuashiria ushiriki wa Wizara katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti katika Mji wa Serikali, Mtumba, jijini Dodoma lililozinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Juni Mosi, 2022.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni