Waziri wa Mifugo na
Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki (wa nne kutoka kulia) akiongea na mwakilishi wa
Umoja wa Mataifa kwenye Programu ya Chakula Duniani UN WFP, Bi. Sarah Gordon -
Gibson (wa tatu kutoka kulia) pamoja na maafisa wengine alioambatana nao wakati
walipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma lengo likiwa ni
kujitambulisha na kuangalia maeneo ya mashirikiano. (16.02.2021)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki
(kushoto) akijadili jambo na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kwenye programu ya
Chakula Duniani UN WFP, Bi. Sarah Gordon - Gibson mara baada ya kuwasili na
kujitambulisha na kuangalia maeneo ya mashirikiano ofisini kwake
mtumba jijini Dodoma. (16.02.2021)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki
(wa pili kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na mwakilishi wa Umoja wa
Mataifa kwenye programu ya Chakula Duniani UN WFP Bi. Sarah Gordon -
Gibson (wa pili kutoka kulia) na Maafisa wengine walioambatana nae mara baada
ya kujitambulisha na kuangalia maeneo ya mashirikiano leo kwenye Ofisi za
Wizara hiyo, mtumba jijini Dodoma. (16.02.2021)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni